Nikki Beare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nikki Beare (Machi 7, 1928Novemba 10, 2014) alikuwa mwanaharakati na mwandishi wa habari, ambaye aliwahi kuwa raisi wa shirika la National Organization for Women (NOW).

Beare alianza kufanya kazi kama mwandishi wa habari wa The Miami News kabla ya kujitolea kikamilifu katika utetezi wa haki za wanawake huko Florida. Aliajiriwa kama mtetezi na shirika la NOW katika juhudi za kupitisha marekebisho ya haki sawa na akafanya kazi ili kupambana na visa vya ubaguzi wa kazi na bima. Beare alialikwa kwenye mkutano wa tatu wa World Conference on Women na wa nne World Conference on Women mwaka 1985 na 1995.

Aliingizwa katika Florida Women's Hall of Fame mnamo mwaka 1994.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nikki Beare kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.