Nikipata Nauli
Mandhari
Nikipata Nauli ni wimbo wa ushairi wa Mrisho Mpoto uliotoka mwanzoni mwa mwaka 2009 kwenye albamu ya Waite akimshirikisha Banana Zoro. Mjomba anaishi mjini na hafikiki kirahisi.
Wimbo huo uliibua tafsiri mbalimbali[1] kwa jamii ya wanaozungumza Kiswahili, wengi wakitafsiri kuwa Mpoto alimaanisha kuwa anatafuta nafasi ya uongozi wa kisiasa (Nauli) ili afikishe ujumbe wake kwa mjomba (Rais) kwa kuwa kumfuata mjini ndio njia sahihi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ TAFAKARI NZITO YA WIMBO WA MRISHO MPOTO : WAITE, blogu ya Mbuke Times, iliangaliwa Desemba 2021