Nicole Gaelebale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicole Lisa Gaelebale (alizaliwa Mahalapye, Botswana, 22 Aprili 1993) ni mwanamitindo maarufu na anayetambulika kwa urembo wake na amefanikiwa kupata taji la mrembo wa dunia mwaka 2012 Botswana, mrembo wa ardhi Botswana 2014 na zaidi ya Mrembo wa dunia Botswana 2017.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicole Gaelebale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.