Nenda kwa yaliyomo

Nicolas Lhernould

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicolas Pierre Jean Lhernould (aliyezaliwa 23 Machi 1975) ni askofu kutoka Ufaransa wa Kanisa Katoliki ambaye ameteuliwa kuwa askofu mkuu wa Tunis. Alikuwa Askofu wa Constantine huko Algeria kutoka 2020 hadi 2024.[1]

  1. "Tunisie: nouveau directeur national des OPM". Oeuvres Pontificales Missionnaires France (kwa Kifaransa). 29 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.