Nick Pope
Mandhari
Nicholas David Pope (alizaliwa 19 Aprili 1992 ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uingereza ambaye anacheza kama kipa katika klabu ya Burnley na timu ya taifa ya Uingereza.
Pope alianza kucheza mpira katika chuo cha vijana cha Ipswich na baada ya kufikisha miaka 16 alijiunga na klabu ya League One Charlton Athletic mwezi Mei 2011, Popa alijiunga na Burnley Julai 2016.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nick Pope kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |