Nick Ponte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nick Ponte (amezaliwa Maui huko Hawaii[1], 19 Disemba 1987) ni mjasiriamali wa Marekani.[2]

Alianza kazi yake kama fundi wa magari na kisha akawa na kampuni yake ya uuzaji iliyoitwa Nick Ponte Marketing.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nick Ponte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.