Nicholas Wadada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicholas Wadada (alizaliwa 27 Julai 1994 katika mji wa Mbale, Magharibi mwa Uganda) ni beki wa timu ya taifa ya Uganda.

Klabu yake ya sasa ni Azam F.C. iiliyopo nchini Tanzania.

Azam FC (Tanzania)[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Juni 2018 Wadada aliweka mkataba na ya Azam FC iiliyopo nchini Tanzania.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Wadada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.