Ngụy Thị Khanh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nguy Thi Khanh mnamo 2016

Ngụy Thị Khanh (alizaliwa 1976) ni mwanamazingira kutoka Vietinam ambaye ni mkurugenzi mtendaji, na mwanzilishi, wa Green Innovation and Development Centre (GreenID) huko Vietnam. [1] Khanh [2] pia ni mratibu wa utetezi wa Mtandao wa Mito ya Vietnam (VRN).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nguy Thi Khanh - Vietnam" (kwa Kijerumani). Rosa Luxemburg Stiftung. 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 April 2018.  Check date values in: |archivedate= (help)
  2. Vietnamese people are usually referred to by their given name, since the family names are so common.
  3. "Nguy Thi Khanh". SEED, a UN organization. 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 April 2018.  Check date values in: |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngụy Thị Khanh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.