Nenda kwa yaliyomo

Brooklyn Nets

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka New Jersey Nets)

Brooklyn Nets ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Brooklyn. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Kyrie Irving, Kevin Durant.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Brooklyn Nets kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Brooklyn Nets