New England Revolution
Mandhari
New England Revolution, pia inajulikana kama Revs, ni kilabu maarufu ya mpira wa miguu kutoka nchini Marekani.
Kilabu hii uchezea sana katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Gillette Stadium katika Foxboro, Massachusetts, karibu na Boston.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 8 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu New England Revolution kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |