Nelly Uchendu
Mandhari
'
Nelly Uchendu | |
---|---|
Faili:Nelly Uchendu.jpeg Nelly Uchendu | |
Amezaliwa | 1950 |
Amefariki | 2005 |
Kazi yake | Mwimbaji |
Nelly Uzonna Edith Uchendu, MON (1950 – 12 Aprili 2005), Ni mwimbaji, mtunzi, na muigizaji wa Kinyoruba kutoka Nigeria.[1] Alikuwa mmoja wa wale wanaoheshimiwa kwa kuleta nyimbo za jadi za Igbo kwenye anga la muziki wa kisasa, Uchendu alipata umaarufu mkubwa baada ya kutolewa kwa wimbo wake wa mwaka 1976 uitwao "Love Nwantinti" ambao ulimpatia jina la utani "Mama mwenye Sauti ya Dhahabu". Alitoa rekodi 6 za LP wakati wa kazi yake ya muziki.[2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sonala Olumhense. "Happy Married Life, Nigeria! By Sonala Olumhense", Sahara Reporters, 21 March 2015. Retrieved on 25 September 2016.
- ↑ Chittaranjan Das (1993). Folklores of Mankind. Institute of Oriental and Orissan Studies.
- ↑ Tell. Tell Communications Limited. 2005.
- ↑ Love Nwantiti (feat. Mike Obianwu) by Nelly Uchendu (kwa American English), 2013-12-19, iliwekwa mnamo 2023-02-04
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nelly Uchendu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |