Nenda kwa yaliyomo

Nelly Sawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nelly Sawe ni mkenya, ni mchezaji wa mpira wa miguu, na alicheza kama mlinzi wa timu ya Thika Queens FC na timu ya wanawake ya mpira wa miguu Kenya.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Nelly Sawe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.