Neddy Atieno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Neddy Atieno Okoth amezaliwa 8 Julai 1992, anajulikana kama Neddy Atieno ni kiungo wa timu ya mpira ya Kenya na alicheza kama kiungo cha mbele Cha Ulinzi stars na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake wa Kenya.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Atieno alichezea Kenya katika ngazi ya juu wakati wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika la Wanawake wa 2018.[1]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neddy Atieno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.