Ned's Declassified School Survival Guide

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ned's Declassified School Survival Guide ni kipindi cha televisheni ambacho huonyeshwa na chaneli ya Nickelodeon, Marekani. Kinamhusu mtoto mmoja aitwaye Ned Bigby na marafiki zake Jennifer na Simon; wakiwa darasa la saba wanatengeneza kitabu ambacho kitawaongoza jinsi ya kuishi vizuri maisha ya huko shuleni kwao.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ned's Declassified School Survival Guide kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.