Nenda kwa yaliyomo

Nebojša Mihailović

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nebojša Mihailović (amezaliwa 13 Aprili 1961)[1] ni raia wa Serbia ambaye alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa kulipwa na sasa ni mwanasheria.

Alipokuwa mchezaji wa kulipwa, muda wake wote alichezea Yugoslavia kwenye Klabu za Crvena zvezda, Mladost Zemun, na OKK Beograd.

Mnamo mwaka 1988 alistaafu kucheza mpira wa kikapu akiwa anachezea OKK Beogard na baadae alingia katika kazi ya uwanasheria na hapo mbeleni akafungua kampuni yake ya uwanasheria akiwa kama mwanasheria [2][3][4][5]

  1. "Nebojša Mihailović Biografija" (PDF). okkbeograd.org.rs. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Savez - Nadzorni odbor i komisije". kss.rs. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "TK - suspenzija službenih lica 03.12.2016". rksis.rs. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "VANREDNI PRELAZNI ROK MK JANUAR 2015". takmicenje.taboosport.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-04. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "ODLUKA UO KSS O IMENOVANJU KOMISIJE ZA TAKMIČENJE KSS" (PDF). rksjs.rs. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nebojša Mihailović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.