Nenda kwa yaliyomo

Ndole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ndole.

Ndolé[1] ni chakula kutokea Kamerun kinachokuwa na karanga, ndoleh (majani machachu kutokea magharibi mwa Afrika) na samaki, nyama[2] au uduvi.

Huliwa na ndizi za kukaanga, bobolo (chakula kinachotokana na mihogo iliyowekwa kwenye majani).

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndole kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.