Nana Oduro Nimapau II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nana Oduro Nimapau II alikua mtawala wa jadi nchini Ghana na Chifu mkuu wa Esumeja.[1] Cheo chake rasmi kilikua Esumejahene - Mfalme wa Esumeja. Yeye alikua rais wa sita wa Ikulu ya Kitaifa ya Machifu na kutumika kutoka mwaka 1992 hadi 1998.[2][3] Yeye pia alitumika kama rais wa Muungano wa Wanamuziki wa Ghana katika miaka ya 1960.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://docplayer.net/36983597-Traditional-costumes-and-their-relevance-as-cultural-symbols-to-film-making-in-ghana-asante-case-study.html
  2. https://mobile.ghanaweb.com/GhanaHomePage/NewsArchive/Rawlings-takes-on-chiefs-and-the-media-7391
  3. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2023-02-28. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.