Nampalys Mendy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nampalys Mendy akiwa amesimama golini ili kuzuia mashambulizi.

Nampalys Mendy (alizaliwa 23 Juni 1992) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika timu ya Leicester City F.C, pia ni mchezaji wa zamani wa Ufaransa wa vijana chini yqa miaka 21.

Kutokana na hali yake kubwa ya usambazaji mpira kama namba 6, na mtindo wa kuaminika na timu, Mendy amefananishwa na mchezaji wa zamani wa Ufaransa wa kimataifa, Claude Makélélé pia na mchezaji wa klabu ya Monaco Didier Christopher.

Mnamo tarehe 3 Julai 2016, Mendy alihamia kwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza Leicester City, mkataba huo uliyosimamiwa na bosi wake wa zamani huko Monaco, Claudio Ranieri, akiisaini mkataba wa miaka minne kwa £ 13 milioni.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nampalys Mendy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

.