Nambamchanganyiko
Mandhari
Nambamchanganyiko (kwa Kiingereza: "Mixed numeral", "mixed fraction" au "mixed number") ni namba yenye mchanganyiko wa nambakamili (kwa mfano 7) na sehemu (kwa mfano 1/4). Hivyo 7 1/4 ni nambamchanganyiko.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- "Fraction, arithmetical". The Online Encyclopaedia of Mathematics. http://www.encyclopediaofmath.org/index.php/Fraction.
- "Fraction". Encyclopædia Britannica. http://www.britannica.com/EBchecked/topic/215508/fraction.
- "Fraction (mathematics)". Citizendium. http://en.citizendium.org/wiki/Fraction_(mathematics).
- "Fraction". PlanetMath. Archived from the original on 2011-10-11. https://web.archive.org/web/20111011215017/http://planetmath.org/encyclopedia/Fraction.html. Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nambamchanganyiko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |