Nenda kwa yaliyomo

Nambakamili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nambakamili (kwa Kiingereza: "integer" kutoka Kilatini) ni namba nzima. Inaweza kuwa chanya (1, 2, 3, 789 n.k.) au hasi (-4, -245 n.k.) lakini pia sifuri (0), bila mchanganyiko na sehemu (kwa mfano nusu au robo).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nambakamili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.