Namba 116

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Namba 116 ni namba maalumu ya simu kwa ajili ya kutoa taarifa zinazohusiana na ukatili wa aina zote. Namba hiyo ipo chini ya mradi unaofadhiliwa na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu Duniani.

Ikitokea umekutana na matukio ya ukatili ukiwa Tanzania [1] piga namba 116 ili upate msaada wa haraka. Unaweza kutumia mtandao wowote. Namba hii kupiga ni bure. Lengo ni kutokomeza ukatili wa aina zote kwenye jamii.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]