Nenda kwa yaliyomo

Najwa Alimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Najwa Alimi ni mwandishi wa habari wa Afghanistan na mwanaharakati wa haki za binadamu.Alishinda tuzo ya Per Anger 2019 kwa juhudi zake za kuunga mkono haki za binadamu na uhuru wa kujieleza, Mnamo 2022, alitunukiwa tuzo ya Anna Lindh .[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "2019: Najwa Alimi". Forum för levande historia. Iliwekwa mnamo 2021-08-28.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Najwa Alimi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.