Nabii Aït Fergana
Mandhari
(Elekezwa kutoka Nabii aït fergana)
Nabil Aït Fergane (alizaliwa 8 Aprili 1992) ni mwanasoka wa Algeria ambaye kwa sasa anachezea klabu ya NA Hussein Dey katika Ligi ya Algeria Professionnelle 1. Aït Fergane alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya Algeria ya vijana chini ya umri wa miaka 17 iliyomaliza kama washindi wa pili katika michuano ya Afrika ya umri chini ya Mika 17 mwaka2009.
Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Nabil Aït Fergane Katika Soccerway
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nabii Aït Fergana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |