Naana Eyiah Quansah
Naana Eyiah Quansah ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa New Patriotic Party. Kwa sasa ni mbunge wa eneo la jimbo la Gomoa ya Kati [1][2][3]
Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]
Quansah alizaliwa tarehe 17 Februari 1963 katika eneo la nchini Ghana..[4]
Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]
Quansah ni Mkristo mwenye ndoa ya Mtoto mmoja..[5]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ MP Advocates For Girl-Child Education In Gomoa Central (en). Modern Ghana. Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
- ↑ Naana Eyiah supports Gomoa Obuasi Health Centre (en-gb). Graphic Online. Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
- ↑ News Ghana. MP settles bills of 55 Gyaman SHS students | News Ghana (en-US). https://newsghana.com.gh/. Iliwekwa mnamo 2022-03-12.
- ↑ Ghana MPs - MP Details - Eyiah, Naana.
- ↑ Ghana MPs - MP Details - Eyiah, Naana.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Naana Eyiah Quansah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |