Mystic Night Move
Mandhari
"Mystic Night Move" | ||
---|---|---|
Wimbo wa Alpha Blondy
kutoka katika albamu ya MASADA | ||
Umetolewa | 1992 | |
Umerekodiwa | 1991-1992 | |
Aina ya wimbo | Raggae | |
Lugha | Kiingereza | |
Urefu | 4:04 |
Mystic Night Move ni jina la kutaja wimbo uliombwa na kutungwa na msanii wa muziki wa raggae kutoka nchini Ivory Coast - Alpha Blondy. Mashairi yake anazungumzia kwanini mashujaa weusi wanakufa mapema. Mstari wa kwanza anasema: Naamka asubuhi na Mola anapambazua jua, Machozi machoni mwangu, Kwa sababu usiku wa jana nimepata habari za kusikitisha mno, Nimesikia eti Bob Marley kafa, Na ninafahamu ya kwamba kwa uwezo wake ipo siku atainuka tena, Simba wa Zayuni kenda zake, Kupumzika katika makazi yake ya milele.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Mystic Night Move katika YouTube