Nenda kwa yaliyomo

Tabia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mwenendo)

Tabia (au mwenendo) inaweza kuwa na maana ya vitu viwili vinavyohusiana.

Kimsingi inamaanisha: kile ambacho mtu, mnyama au mmea hupenda kufanya kama kwa silika. Lakini binadamu anaweza kujijengea tabia kwa utashi wake.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.