Nenda kwa yaliyomo

Wembamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mwembamba)

Wembamba ni hali ya kuwa na umbo dogo kinyume cha unene. Neno hili hutumiwa kuonyesha hali ya umbile la kiumbehai au dutu kwamba si pana wala nene.

Pengine wembamba wa kiumbehai unatokana na kukonda kwa maradhi au utapiamlo.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wembamba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.