Mwamba wa Daedalus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mwamba wa Daedalus (pia hujulikana kama Abu Kizan au Daedalus Reef) ni safu ya miamba chini ya maji yenye urefu wa mita 400 na upana wa mita 100 mbeleya mwambao wa Misri katika Bahari ya Shamu.[1][2].Kuna kisiwa kidogo katikati ya mwamba huo, ambapo kuna mnara wa taa uliojengwa mnamo mwaka 1863 na kujengwa upyaa mnamo mwaka 1931.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Welcome to Daedalus Reef". redsea-diving.info. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-13. Iliwekwa mnamo 2013-04-07.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. "Dive the Red Sea - Egypt - Daedalus Reef". dive-the-world.com. Iliwekwa mnamo 2013-04-07. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mwamba wa Daedalus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.