Muungano rugby Kenya timu ya taifa (sevens)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
A lineout wakati wa 2008 Edinburgh Sevens


Timu ya kitaifa ya Kenya ya raga ya muungano wa wachezaji saba hushiriki katika mashindano ya IRB Sevens World Series na shindano la kombe la dunia ya raga ya wachezaji saba. Wao kwa sasa ni moja ya timu 12 muhimu ya IRB Sevens walio na uhakika wa kushiriki mahali matukio yote nane yanafanyika kila msimu.

Historia[hariri | hariri chanzo]


Timu ya Kenya ya raga ya wachezaji saba inashiriki katika mashindano ya kimataifa ya raga ya wachezaji saba na imekuwa na mafanikio zaidi kuliko wenzao wanaocheza raga ya wachezaji kumina tano. Umaarufu wao kuu ya kwanza katika mashindano ya raga ya wachezaji saba ilikuwa kuishinda timu ya Australia katika London Sevens 2006, walipoendelea kufika finali ya ushindani wa Bamba. Katika mashindano ya Wellington Sevens mwaka 2007 nchini New Zealand, Kenya ilikuwa nambari ya pili katika kundi lao, ikishinda timu kubwa kama Ajentina na Tonga, kabla ya kushindwa katika robo-fainali na timu ambaye hatimaye ilikuwa ya pili, Fiji.


Kenya imeimarika haswa katika msimu wa raga wa wachezaji saba katika mwaka wa 2008-09. Wao walifika nusu fainali katika Kombe la Dunia mwaka wa 2009 , hatimaye wakishindwa na Ajentina. Katika mashindano ya IRB mwaka ya mwaka huo, Kenya ilifikia fainali za Kombe kuu kwa mara ya kwanza katika shindano lililokuwa Adelaide , lakini walishindwa na Afrika ya Kusini katika Finali; |Katika mashindano ya IRB mwaka ya mwaka huo, Kenya ilifikia fainali za Kombe kuu kwa mara ya kwanza katika shindano lililokuwa Adelaide , lakini walishindwa na Afrika ya Kusini katika Finali; [1] wao walishiriki katika nusu finali mara mbili katika matukio mengine.

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Wachezaji[hariri | hariri chanzo]

Kikosi cha Sasa[hariri | hariri chanzo]

Kikosi cha watu 12 watakaoshiriki kwa dimba la Kombe la Dunia ya raga ya watu saba mwaka wa 2009:


1. Humphrey Kayange


2. Allan Onyango


3. Victor Oduor


4. Benedict Nyambu


5. Wilson Opondo


6. Lavin Asego


7. Biko Adema


8. Innocent Simiyu


9. Collins Injera


10 Sidney Ashioya


11 Gibson Weru Kahuthia


12. Horace Otieno

Wachezaji mashuhuri wa zamani[hariri | hariri chanzo]

Wafadhili[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]