Lucas Onyango
Mandhari
Personal information | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
Full name | Lucas Onyango | |||||
Born | 12 Mei 1981 Mombasa, Kenya | |||||
Height | 179cm | |||||
Weight | 81kg | |||||
Playing information | ||||||
Position | Wing | |||||
Club | ||||||
Years | Team | Pld | T | G | FG | P |
2005 | Widnes Waviking | |||||
2007–12 | Oldham Roughyeds | 108 | 292 | |||
Oxford | ||||||
Total | 108 | 0 | 0 | 0 | 292 |
Lucas Onyango (amezaliwa mnamo 12 Mei 1981) ni mchezaji wa ligi ya raga kutoka Kenya anayeichezea klabu ya Uingereza ya Oldham Roughyeds. Alikuwa mchezaji wa raga wa kitambo wa timu ya taifa ya raga ya Kenya. Yeye ni mchezaji mwenye kasi sana na yeye ni wing'a wakati anacheza.
Nchini Kenya, yeye aliichezea Mean Machine RFC, timu ya Kombe la Kenya ambayo iko chini ya Chuo Kikuu cha Nairobi. Aliichezea timu ya raga ya wachezaji saba kila upande ya Kenya katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka wa 2002 na baadaye yeye alijiunga na Manchester RFC. Alihamia klabu ya ligi raga ya Widnes Waviking mwaka wa 2005.
Dada yake, Sharon Onyango, ameichezea timu ya muungano wa raga ya kitaifa ya wanawake ya Kenya[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Daily Nation, 25 Julai 2009: Nakuru nchini Kenya upset KCB Kombe Archived 12 Januari 2019 at the Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Oldham Roughyeds profile Archived 1 Februari 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamichezo wa Kenya bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Lucas Onyango kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |