Nenda kwa yaliyomo

Muthoni Likimani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muthoni Likimani

Muthoni Gachanja Likimani (alizaliwa 1926) ni mwanaharakati na mwandishi kutoka Kenya, ambaye amechapisha kazi za uandishi wa kubuni na zisizo za kubuni, pamoja na vitabu vya watoto.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Maxine Beahan, "Muthoni Likimani (1926– )", in Pushpa Naidu Parekh and Siga Fatima Jagne, Postcolonial African Writers: A Bio-bibliographical Critical Sourcebook, Westport, Connecticut: Greenwood Press, 1998, pp. 296–299.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muthoni Likimani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.