Muteci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dola la Roma - Mauretania Caesariensis (125 BK.)

Muteci (Kilatini : Mutecitana) ulikuwa mji wa Dola la Roma katika Mauretania Caesariensis. Upo karibu na mji wa Aïn-El-Anab, Algeria ya sasa, kaskazini mwa Afrika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Muteci kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.