Murushid Juuko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Murushid Juuko (hujulikana pia kama Juuko Murshid au Jjuko; alizaliwa 14 Aprili 1994) ni mchezaji wa soka wa Uganda aliyezaliwa Entebbe, Wilaya ya Wakiso.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Juuko aliongoza Uganda Cranes kwenye fainali zao za kwanza za Kombe la Mataifa ya Afrika tangu mwaka 1978. Alikuwa nimiongoni mwa kikosi cha timu iliyoshinda dhidi ya Komoros goli 1-0 ili kufuzu fainali za mwaka 2017 huko Gabon. Alipoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Ghana kutokana na kusimamishwa .

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Murushid Juuko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.