Muntu Nxumalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Muntu Nxumalo (alizaliwa 1957) [1] ni mwimbaji wa nchini Afrika Kusini.

Kifungo[hariri | hariri chanzo]

Nxumalo alizaliwa na kukulia huko Durban, Afrika Kusini. Mnamo 1977 alijiunga na Umkhonto weSizwe (au "MK"), mrengo wa kijeshi wa African National Congress .

Mwaka uliofuata alikamatwa akashtakiwa kwa uhaini na jaribio la kuua, na kuhukumiwa kifungo cha miaka 22 katika Gereza la Kisiwa cha Robben, ambako alifungwa kuanzia t30 Novemba 1978 hadi 27 Aprili 1991. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 ""Robben Island Singers Electronic Press Kit".". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-24. Iliwekwa mnamo 2022-05-10. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muntu Nxumalo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.