Munir El Haddadi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Munir El Haddadi

Munir El Haddadi (anajulikana kama Munir tu ; alizaliwa 1 Septemba 1995) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambulijai wa klabu ya Barcelona F.C.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Munir alianza kazi yake katika timu ya vijana wa Atletico Madrid kabla ya kuhamia Barcelona mwaka 2011,ambako alishinda mechi ya Ligi ya Vijana msimu wa mwaka 2013-14 UEFA.

Alicheza kwa mara ya kwanza kwa timu B mwezi Machi 2014, na alifunga goli mechi yake ya kwanza kwa timu yake mwezi Agosti mwaka huo, mwanzoni mwa msimu ambao walishinda.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Munir El Haddadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.