Mukimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mukimo au Mokimo (IRIO) ni chakula cha Kenya (haswa kutoka kwa jamii zinazoishi karibu na Mlima Kenya) kilichoandaliwa na viazi vilivyopondwapondwa na mboga za majani. [1]  Inaweza pia kujumuisha mahindi na maharage.  Mukimo mara nyingi huandaliwa kama kiambatanisho cha nyama iliochemshwa na nyama choma.  Ingawa asili yake imetokea sehemu ya kati ya Kenya, Mukimo sasa inatumika miongoni mwa jamii mbalimbali nchini Kenya.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mukimo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.