Mtumiaji:Rerehambegha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

PANGANI.Ni wilaya iliyopo katika mkoa wa Tanga,Tanzania.jina pangani limetokana na historia ya utumwa ambapo kulikuwa na eneo maalumu kwa ajili ya kupanga watumwa kulingana bei au na ubora wa mtumwa,hivyo neno pangani limetokana na panga.Eneo hili lipo lilileta neno hili lipo mpaka leo hii,lipo nyuma ya gofu la soko la utumwa.