Majadiliano ya mtumiaji:Rerehambegha
Mandhari
MAMBO niko Tazania mkoa wa Tanga, nashukuru kwa michango yenu KIPALA,MTT CRYPTO NA NIGANILE ALIYE NISHAURI KUCHANGIA MADA KATIKA WIKIPEDIA BADO KAZI NI KUBWA,
- Habari za Tanga? Nimefurahi kukuona tena. Je utakuwa na nafasi ya kuchangia? Kama una chochote kutoka sehemu yako ya TZ- karibu! Menginevyo: Niko sasa kwenye nchi ya Asia, naelekea kwisha. lakii kama unapata nafasi ya kutafsiri makala za miji mikuu (au maraisi, mawaziri wakuu n.k.) - karibu! Mimi natumia mara nyingi -kama sina muda mwingi- makala za simple.wikipedia.org na kuzitafsiri, hasa pamoja na viungo vya interwiki (wikipedia kwa lugha mbalimbali). Ukiwa na nafasi karibu kusaidia!
- Ukifungua http://simple.wikipedia.org/wiki/Category:Capital_cities_in_Asia
- na kulinganisha na
- http://sw.wikipedia.org/wiki/Category:Miji_Mikuu_Asia utaona miji ipi imekosekana.
- Ushauri: kuna njia mbili: fungua makala, bonyeza "edit", nakili yote, halafu
- fungua ukurasa kama http://sw.wikipedia.org/wiki/Doha na badilisha jina la mji kwa makala mapya utakaloanzisha (kwa mfano: futa Doha katika anwani hii, andika badala yake andika Islamabad na gonga "enter"
- halafu ingiza yote uliyonakili kutoka simple.wikipedia.com humona badilisha lugha.
Njia nyingine ni kuangalia makala za nchi za Asia na kutazama: wapi mki mkuu bado nyekundu. bonyeza, na fungua makala ya simple..
Karibu tu! --Kipala 14:21, 11 Februari 2007 (UTC)