Mtumiaji:Nickshanks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nicholas George Shanks alizaliwa tarehe mosi, Mei, mwaka wa elfu moja mia tisa themanini na moja katika zahanati ya “Queens Medical Centre”. Alilelewa magharibi mwa Bridgford kabla ya kutimiza umri wa miaka kumi na minane na kuhamia Hatfield kwa masomo yake katika Chuo Kikuu cha Hertfordshire aliposomea Astrophysics.

Sasa mkurugenzi mkuu wa Cognition Games Ltd, Nicholas atengeza software katika kampuni ya Apple Macintosh na atumia wakati wake wa ziada akisoma habari za BBC na pia kujifunza ndimi/lugha kama vile Latina. Mbali na astrophysics, kompiuta na kujifunza lugha, pia apendelea akeolojia, paleontolojia, paleoanthropolojia, safari za anga za juu, wanawake, mikasa na mengine mengi. Miziki anayopendelea ni Bruce Springsteen, The Police, Die Prinzen, Chris Isaak, Jefferson Airplane, Peter Gabriel, Steve Miller Band na U2 kati ya wengineo.