Mtumiaji:Lloffiwr/Majaribio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

hakuna

Njia ya Pwani ya Welisi.

Chepstow njia inapoishia

Njia ya Pwani ya Welisi ni njia ya miguu ndefu inayozunguka pwani yote ya Welisi. Njia inaelekea Queensferry kaskazini mwa Welisi hadi Chepstow (Kiwelisi: Cas-gwent) kusini mwa Welisi. Urefu wake ni kilometa 1,400.[1] Njia ilifunguliwa rasmi tarehe 5 Mei 2012, ila sehemu fulani kama Njia ya Pwani pa Ziwa ya Anglesey na Njia ya Pwani pa Pembrokeshire zilitanguliwa kufunguliwa. Njia inapitia Hafadhi za Taifa 2, Maeneo Mazuri ya Urembo ma 3 na Hifadhi za Asili za Kitaifa 11.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. firstnature.com - Countdown to the Wales Coast Path Ilirejewa 10 Julai 2012.
  2. bbc.co.uk - Wales Coast Path officially opens with events in Cardiff, Aberystwyth and Flint Ilirejewa 10 Julai 2012.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]