Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Maoni ya kisiasa na uanaharakati wa hasira dhidi ya mashine
Mandhari
Maoni ya kisiasa na uanaharakati wa hasira dhidi ya mashine ni makao makuu ya bendi ya muziki na picha kwa Umma. hasira dhidi ya mashine ndani ya marekani ilitengenezwa mwaka 1991. Mpangilo wa bendi unahusisha mwimbaji Zack de la Rocha, akisaidiwa na kuungwa mkono na mwimbaji Tim Commerford, mpiga gitaa Tom Morello and Mpiga ngoma Brad Wilk. Wakosoaji waligundua hasira dhidi ya mashine kuwa " Ukali wa muziki wa palemicali ambao ulitengenezwa na kuwekwa katika mrengo wa kushoto haukua na athari dhidi ya kampuni ya marekani, ubeberu kimaduni na ukandamizaji wa serikari ndani ya Molotov cocktail ambayo huusiha punk, hip-hop na trash(kuimba kwa kupokezana)."[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Rage Against the Machine Songs, Albums, Reviews, Bio & More". AllMusic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.