Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Athari za vita kwa watoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Idadi ya watoto katika maeneo yenye mizozo yenye silaha ni takribani milioni 250.[1] Wanakabiliana na madhara ya kimwili na kiakili kutokana na mazingira ya kivita wanayo kutana nayo.

"Migogoro ya silaha" inaweza kufafanuliwa katika njia kuu mbili kulingana na Sheria ya Kimataifa ya Kibinadamu "1) migogoro ya kimataifa ya silaha, kupinga Mataifa mawili au zaidi, 2) migogoro ya silaha isiyo ya kimataifa, kati ya vikosi vya serikali na makundi yasiyo ya kiserikali yenye silaha."[2]

Marejeo:[hariri | hariri chanzo]

  1. "Conflict". UNICEF USA (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-13. 
  2. "How is the term "Armed Conflict" defined in international humanitarian law? - ICRC". www.icrc.org (kwa en-us). 2008-03-17. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-11. Iliwekwa mnamo 2018-03-08.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)