Mtumiaji:Kipala/wikipedia kwa lugha za kiafrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wikipedia kwa lugha ya Kiafrika ni wikipedia inayotumia lugha ya Kiafrika. Kuna njia mbalimbali kueleza tofauti kati ya "Lugha za Kiafrika" na "lugha za Afrika". Kwa matumizi ya makala hii lugha za Kiafrika ni lugha zilizozaliwa kwenye eneo la Afrika na kutumiwa na watu katika Afrika.

Kwa hiyo Kiarabu haiangaliwi hapa ingawa ni lugha ya kwanza ya Waafrika wengi katika kaskazini ya bara, wala Kiingereza au Kifaranza ambavyo ni lugha rasmi katika nchi nyingi barani.