Mtumiaji:Jonny Frosty/Ludmila Kalinina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Liudmila Kalinina na Vera Bazarova Mwaka 2007

Ludmila Alexandrovna Kalinina ni kocha wa wanariadha nchini Urusi wa kuteleza kwenye theluji. Alikuwa akiishi Perm hadi katikati ya mwaka 2011 na kuhamia Saransk[1][2]. Wanafunzi wake walikia:

  • Vera Bazarova / Yuri Larionov (kuanzia mwaka 2005 hadi Februari 2013). Ni mshindi wa medali za Uropa mara mbili, alikua mshindi wa Fainali za Grand Prix 2012.
  • Elena Efaeva / Alexei Menshikov
  • Alexei Rogonov
  • Tatiana Tudvaseva / Sergei Lisiev

Kalinina ana shahada ya uhandisi wa kemikali. Ameolewa na ana watoto wawili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.perm.aif.ru/sport/article/14939
  2. "Фигуристы Базарова и Ларионов переезжают из Перми в Саранск". Российская газета. 2011-06-27. Iliwekwa mnamo 2022-12-10.