Mtumiaji:Jackson Mujungu/Larissa Anderson (softball)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Larissa Anderson (softball)[hariri | hariri chanzo]

Larissa Anderson ni kocha wa softball wa kimarekani ambaye kwa sasa ndiye kocha mkuu huko Missouri.[1]

Maisha yake ya kazi[hariri | hariri chanzo]

Hofstra

Anderson aliajiriwa kama kocha mkuu wa Hofstra mnamo mwaka 2014 akichukua nafasi ya kocha mkuu wa muda mrefu, Bill Edwards.[2]

Missouri

Mnamo Mei 26, mwaka 2018, Larissa Anderson alitangazwa kama kocha mkuu mpya wa programu ya softball ya Missouri,[3] akichukua nafasi ya Ehren Earleywine ambaye alifutwa kazi kabla ya msimu wa mwaka 2018.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Larissa Anderson - Softball Coach". University of Missouri Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  2. "Larissa Anderson - Softball Coach". Hofstra University Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  3. "Larissa Anderson Named ’s 10th Head Coach". University of Missouri Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11. 
  4. "Missouri Fires Softball Head Coach Ehren Earlywine - FloSoftball". www.flosoftball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-11.