Mtumiaji:Jackson Mujungu/Kathy Arendsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kathy Arendsen (amezaliwa mnamo Oktoba 10, mwaka 1958) ni kocha mkuu softiboli mmarekani na mchezaji wa zamani wa kulipwa.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Arendsen alizaliwa mnamo Oktoba 10, mwaka 1958, huko Zeeland, Michigan.[1] Akiwa mtoto,alivutiwa sana na mwanadada Joan Joyce, mchezaji wa softiboli na mchezaji wa Raybestos Brakettes, baada ya kushuhudia mchezo wake akiwa na umri wa miaka 12.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Head Coach Kathy Arendsen". Mississippi State (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-12. 
  2. "Head Coach Kathy Arendsen". Mississippi State (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-12. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumiaji:Jackson Mujungu/Kathy Arendsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.