Mtumiaji:Imranjalalkhan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika JKUAT.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)Kiswahili Kitukuzwe. Nami natambulika kama Imran Jalalkhan, mwanafunzi wa uhandisi chuo kikuu cha Jomo Kenyatta nchini Kenya. Huu ni mwaka wangu wa mwisho na nasomea shahada; kwa Kiswahili ni uhandisi wa mchanga, maji na mazingira. Isitoshe ni mpigaji picha.