Mtumiaji:Black Leopard F.C Under20
Mandhari
| Jina la utani | chui weusi |
|---|---|
| Uwanja | Tanganyika Parkers |
| Mwenyekiti | Samwel Yellah Black |
| Kocha | Samwel Yellah Black |
Black Leopard Football Club Under20 ni timu ya kandanda ya vijana ilioanzishwa mnamo mwaka 2014 Desemba 4 mjini mbeya katika jiji la Mbalizi nchini Tanzania.
Wachezaji
[hariri | hariri chanzo]Historia
[hariri | hariri chanzo]Black Leopard ni timu ya vijana ilioanzishwa mnamo mwaka 2014 na vijana wa mbalizi Black Leopard ilimpata kocha mwaka 2015 ambaye ni Samwel Yellah Black.
viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]kuhusu Black leopard under20 katika tovuti ya facebook