Mtumiaji:Athuman Komora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa jina naitwa Athuman Komora Garisse mzaliwa wa mkoa wa Pwani wilaya ya Tana River. Nilisomea shule ya Msingi ya Lake Kenyatta wilaya ya Lamu kwisha nikajiunga na shule ya upili ya Sheikh Khalifa Bin Zayed Al Nahyan Jijini Mombasa.Ninasomea shahada ya sayansi ya biolojia katika chuo kikuu cha Jomo Kenyatta(jkuat) Nimejiunga shindano hili kwa sababu ya msisimuko ambawo unapatikana kupitia ushindani kati ya wanafunzi wa vyuo mbali mbali.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika JKUAT.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)