Nenda kwa yaliyomo

Mto Okpara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto okpara)
mto okpara

Mto Okpara ni mto wa nchini Benin na Nigeria.

Inatokea katika Idara ya Borgou, inapita kusini na kuwa mpaka kati ya Nigeria na Benin kabla ya kuingia tena Benin na inachangia Mto Ouémé, ambao mwishowe huingia kwenye Bahari ya Atlantiki.

Vijiji kadhaa kando ya mto huu vinagombaniwa na Benin na Nigeria.[1][2].[3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Rand McNally, The New International Atlas, 1993.
  2. Guo, Rongxing (6 September 2006). Territorial Disputes and Resource Management: A Global Handbook. Nova Publishers. p. 199. ISBN 978-1-60021-445-5. Retrieved
  3. https://www.geonames.org/search.html?q=okpara+river&country=NG
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Okpara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.